Dani Alves ajiunga na Messi na Figo katika listi ya watengeneza magoli bora...
Beki wa kimataifa wa Brazil Dani Alves amekuwa nguzo muhimu katika mafanikio ya klabu ya FC Barcelona katika 10 iliyopita. Mbrazil huyo ambaye ameshashinda ubingwa wa La Liga mara 6, jana ameweka...
View ArticleFAHAMU MAMBO MANNE KUELEKEA PAMBANO LA MANCHESTER UNITED VS BOURNEMOUTH
Manchester United leo wanawakaribisha Bournemouth kwenye dimba la Old Trafford katika mchezo wa funga dimba wa Ligi Kuu England msimu wa 2015-16. Mashetani hao wekundu kwa sasa wana uwezekano mkubwa...
View ArticleTOP 5 YA MA-STAR ‘WALIOCHEMKA’ EPL 2015-16
Kwa kawaida kila ifikapo mwisho wa msimu, kila klabu inafanya tathmini kwa wachezaji wao. Baadhi ya timu kama kama vile Liverpool na Manchester United, zimeshaandaa sherehe kwa ajili ya kuwapongeza...
View ArticleSWANSEA VS MAN CITY: MATCH PREVIEW
Uhasimu katika ya vigogo wawili wa jiji la Manchester yaani Manchester United na Manchester City leo unaweza kunoga zaidi kutokana na wawili hao kuwania kwa udi na uvumba nafasi ya kushiriki UEFA...
View ArticleHuu ndio ushindi wanaotakiwa kushinda Man United vs Bournemouth ili kufuzu...
Wakati mchezo wao dhidi ya Bournemouth ukihairishwa kutokana na tishio la bomu katika dimba la Old Trafford – Manchester United wamepata habari mbaya zaidi kutokana na matokeo ya mchezo wa Man City na...
View ArticleSIMBA YAPATA USHINDI WA KWANZA TANGU MWEZI MARCH
Baada ya jana Yanga kukabidhiwa kombe la VPL, leo mnyama Simba alikuwa mjini Morogoro kutafuta angalau pointi za kumsaidia kumaliza katika nafasi ya pili. Katika pambano hilo dhidi ya Mtimbwa Sugar...
View ArticleLITTLE MOZART, MACHO YANAPOTOA MACHOZI NA SURA YENYE TABASAMU
Na Brian Marian Kama kuna kiumbe niliyewahi kumshuhudia katika uso wa dunia akileta ladha ya ubunifu ndani ya uwanja basi Tomas Rosicky ni mmoja wapo. Alikuwa mbunifu wa kupiga pasi zile za autor,...
View ArticleRONALDO KAWEKA REKODI YA KUTUPIA KAMBANI KWA MIAKA 6
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli 50 kwenye mashindano yote kwa miaka sita mfululizo baada ya kufunga magoli mawili kwenye mchezo wa Jumamosi wakati Real Madrid ikishinda kwa...
View ArticleVIDEO: KIKOSI CHA KUTEGUA MABOMU KILIVYOWASILI OT KUANZA KAZI YA KUSAKA BOMU
Mchezo wa mwisho wa ligi kati ya Manchester United dhidi Bournemouth umesogezwa mbele na huenda ukafanyika siku ya Jumanne. Mchezo huo ambao ulikuwa uchezwe Jumapili uliahirishwa baada ya kushukiwa...
View ArticleHiguain awaonyesha Arsenal wanachokikosa – Avunja rekodi ya ufungaji ya miaka...
Miaka takribani mitatu tangu uhamisho wake wa kwenda Arsenal kufeli mshambuliaji GONZALO HIGUAIN ameandika historia ya ufungaji katika ligi kuu ya Serie A. Mshambuliaji huyo wa Napoli jana alifunga hat...
View ArticleShabiki wa Man Utd usisome hii – Di Maria aweka rekodi hii ya utoaji wa...
Takribani mwaka mmoja baada ya kuwa uhamisho ghali uliofeli katika klabu ya Manchester United – Angel Di Maria ameonyesha kwanini Louis van Gaal alikosea kumuuza kwenda PSG. Kiungo mshambuliaji wa PSG...
View ArticleSAVIO BINGWA KIKAPU TAIFA
Savio Basketball Club inayotokea Upanga Don Bosco jijini Dar es Salaam imechukua ubingwa wa taifa baada ya kuifunga timu ya jeshi ya ABC kwa vikapu 77 kwa 66 kwenye fainali iliyofanyika Jumapili ya...
View ArticleVIDEO: MTOTO WA CAZORLA ADHIHIRISHA MAJI HUFUATA MKONDO
Baada ya mchezo wa jana kati ya Arsenal na Aston Villa ambapo Arsenal walifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, wachezaji waliingia na familia zao uwanjani wakiwaaga mashabiki wao na kujiandaa na...
View ArticleKIIZA-MSHAMBULIAJI MWENYE ‘NJAA YA MAGOLI’ NA MWENYE ‘SHABAHA’ ANAONEKANA...
Baraka Mbolembole Mchezo wake wa kwanza tu akiwa na jezi ya Simba SC akafunga goli, akafunga tena katika game ya pili na kufikia mchezo wa tatu akiwa na timu hiyo mshambulizi Mganda, Hamis Kizza akawa...
View ArticleAZAM, SIMBA, MWADUI, MTIBWA ZILIVYOSHIKILIA ‘UHAI’ WA MGAMBO, RUVU, SPORTS,...
Baraka Mbolembole Azam FC, Simba SC, Mtibwa Sugar na Mwadui FC zina uhakika wa kuendelea kucheza ligi kuu ya kandanda Tanzania Bara (VPL) msimu ujao, lakini upande mwingine klabu nne zinategemea...
View ArticleMASHABIKI WA MAN UNITED WAHAKIKISHA NDOTO ZA SHABIKI KUTOKA SIERRA LEONE...
Ni ukweli usiopingika kwamba Manchester United ndiyo klabu kubwa na maarufu kuliko zote za England, wana mashabiki kutoka pande zote za dunia hii, ambao huwa wanaenda Old Trafford kuangalia michezo...
View ArticleEngland wametangaza kikosi cha Euro 2016 – Walcott nje, Rashford ndani
Kikosi cha awamuya kwanza cha wachezaji 26 cha timu taifa ya England kimetangazwa asubuhi ya leo na kocha Roy Hodgson. Kufuatiwa kumalizika kwa ligi kuu ya England, Three Lions wataanza maandalizi ya...
View ArticleMASHABIKI WACHOMA UWANJA MOTO BAADA YA TIMU YAO KUSHUKA DARAJA.
Mashabiki wa klabu ya ESKISEHIRSPOR ya nchini uturuki wameamua kuuchoma moto uwanja wa timu yao hiyo baada ya kuchapwa goli 2-1 na Medipol Basaksehir ,matokeo yaliyosababisha timu hiyo kushuka daraja....
View ArticleFIFA yaweka historia kumteua mwanamke wa kwanza kuwa Katibu mkuu wa...
Raisi wa FIFA leo Ijumaa amemteua mwanamama Fatma Samoura wa Senegal, mwanadiplomasia mkongwe wa Umoja wa Mataifa kuwa katibu mkuu wa shirikisho hilo. Samoura atakuwa mwanamke wa kwanza kushika...
View ArticleBaada ya taarifa za Zlatan kupewa ofa ya mkataba na Man United – Wakala wake...
Zlatan Ibrahimovic bado hajapokea ofa rasmi ya mkataba kutoka kwa Manchester United, wakala wake amethibitisha usiku wa kuamkia leo. Mapema leo, siku kadhaa kabla ya Ibrahimovic kuichezea Paris Saint...
View Article