Hii Ndio Rekodi ya Barcelona ya Miaka 14 Iliyovunjwa dhidi ya Valencia
Kasi ya klabu ya FC Barcelona jumamosi ya wiki iliyopita ilipigwa ‘stop’ na Valencia, huku rekodi zao kadhaa zikivunjwa baada ya matokeo ya sare 1-1 katika uwanja wa Mestalla. Moja ya rekodi za Barca...
View ArticleMAELEZO YA KIDAKTARI YA DR SAACK MARO JUU YA KILICHOSABABISHA KIFO CHA...
Miongoni mwa matukio makubwa yaliyojitokeza kwenye mchezo kati ya Barcelona dhidi ya Vallencia ni weekend ya December 5, 2015 ni pamoja na shabiki wa Valencia kufariki dunia mara baada ya Santi Mina...
View ArticleNani Anaongoza Kufunga Penati Tangu La Liga Ianzishwe – Mess, Ronaldo?...
Umefanyika utafiti wa takwimu za soka katika ligi kuu ya Uhispania – La Liga na shirika la Centre for Research on Spanish Football History and Statistics (CIHEFE). Utafiti huo umegundua kwamba Real...
View ArticleZIFAHAMU REKODI MBALIMBALI ZA SERIE A ZILIZOTOKEA KATIKA RAUNDI YA 15?
Mambo mengi yamejiri katika Ligi Kuu ya soka nchini Italia wikendi iliyopita.Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na rekodi ya Napoli ya kutofungwa kwa michezo 18 imevunjwa na klabu ya Bologna baada ya...
View ArticleWARRIORSS, WARRIORS WARRIORS…. STEPHEN CURRY.. WAMEITEKA NBA, ANATAFUTWA WA...
Katika mechi ya awali kati ya Golden State Warriors dhidi ya Brooklyn mambo hayakuwa shwari na ilikuwa ni moja ya mechi ambazo Warriors walikaribia kupoteza. Lakini kipindi hiki mambo yalikuwa tofauti...
View ArticleWESLEY MATHEWS AFANYA ANAYOYAFANYA VYEMA, AIONGOZA DALLAS KUANGUSHA WACHAWI...
Wesley Mathews hakuwa na maisha mazuri mwanzo wa msimu huu, mpaka akajichukia mwenyewe. Akarejea kauli za Kobe Bryant kuwa nachukia nachokifanya mwenyewe kwa sababu sio ninachofanya katika uhalisia...
View ArticleRUSELL WESTBROOK AFANYA KWELI, THUNDER YAWAPIGA RADI WAFALME WA SACRAMENTO
Katika moja ya kauli zake Kobe Bryant aliwahi kunukuliwa akisema anampenda Russell Westbrook anavyocheza. Sababu kubwa na katika kile kinachoitwa “Athleticism” yaani uwezo mkubwa wa kutumia kasi ya...
View ArticleMATOKEO YA JUMLA YA NBA DEC 6
FINAL PHX 93 MEM 95 1 2 3 4 T 16 25 27 25 93 20 23 24 28 95 FINAL GSW 114 BKN 98 1 2 3 4 T 30 27 30 27 114 16 38 26 18 98 FINAL LAL 91 DET 111 1 2 3 4 T 19 23 23 26 91 32 33 25 21 111 FINAL DAL 116...
View ArticleTIMU IPI KUTOKA EPL ITAUNGANA NA MAN CITY KUFUZU HATUA YA MTOANO YA MICHUANO...
Juma hili michuano ya UEFA Champions League inaendelea, leo kuna michezo nane lakini mchezo unaotazamwa kwa jicho la karibu ni mchezo kati ya Wolfsburg dhidi ya Manchester United kutokana na uhalisia...
View ArticleHAYA SASA, HIZI NI ZILE TOP 5 STORIES ZA USAJILI WA DIRISHA DOGO ZINAZOTIKISA...
Dirisha dogo la usajili kwa vilabu vya Ulaya litafunguliwa mwezi January ili kuvipa fursa baadhi ya vilabu kufanya usajili wa wachezaji kuimarisha vikosi vyao katika ligi mbalimbali ili kutafuta...
View ArticleHAWA NDIYO WANAUME 9 WALIOPIGA HAT-TRICK NDANI YA EPL HADI SASA, WA-AFRIKA...
Mwezi November ulikuwa ni mgumu kwa timu nyingi za EPL. Hat-trick moja tu ulifungwa ndani ya mwezi huo na hiyo inaashiria ni kwa kiasi gani timu zilipambana kusaka goli. Lakini mshambuliaji wa Everton...
View ArticleHUYU NDIYE ‘KING OF ASSISTS’ WA EPL NA ULAYA, TAKWIMU ZINAZOMBEBA HIZI HAPA…
Mashabiki wengi wa Arsenal wanafurahia kumuona namba 10 wao Mesut Ozil katika kiwango bora na hiyo inawafanya waamini kuwa msimu huu atakuwa kwenye orodha ya wachezaji watakaowania tuzo ya mchezaji...
View ArticleSCHWEINSTEIGER ATUPWA JELA YA FA
Kiungo wa Manchester United, Mjerumani Bastian Schweinsteiger 31, anakabiliwa na adhabu ya kufungiwa mechi tatu na chama cha soka England (FA) kutokana na kitendo chake cha kumpiga kiwiko usoni mlinzi...
View ArticlePLUIJM HATAKI MCHEZO, AMPIGA CHINI MDOGOAKE MSUVA
Simon Msuva akamlisha keki mdogoake James Msuva (kulia) siku aliyokuwa akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa (birthday) December 3, 2015 Kama ulikua hujui sasa nakufanya ujue kuwa kocha mkuu wa Yanga Hans...
View ArticleVITA 3 MUHIMU, MAN UNITED KUUVUKA MLIMA WA WOLFSBURG LEO?
Na Simon Chimbo Manchester United leo usiku itakua ikipambana na klabu ya soka ya VfL Wolfsburg katika uwanja wa nyumbani wa VfL, Volkswagen Arena katika mchezo wa mwisho wa klabu bingwa Ulaya hatua...
View ArticleWolfsburg vs Man United: Van Gaal Hajawahi Kupoteza Mechi vs Wolfsburg,...
VfL Wolfsburg na Manchester United FC zinakutana leo kwenye mechi ya sita ya hatua ya makundi huku timu zote zikitaka matokeo chanya ili kujihakikishia nafasi ya kufuzu hatua ya mtoano wa UEFA...
View ArticleKUELEKEA MICHUANO YA FIFA CLUB WORLD CUP, ZIFAHAMU REKODI MUHIMU KWA NAMBA
Mashabiki wameshaanza kumiminika nchini Japan tayari wanazi-count down siku zilizobaki ili kuanza kwa michuano ya FIFA Club World Cup ambapo mabingwa wa mabara sita pamoja na nchi mwenyeji...
View ArticleJE, WEWE NI MPENZI WA WWE?? UJUE UTATA WA JOHN CENA KWA MPENZIWE
Kwa kila mfuatiliaji ama hata yule ambaye sio mfuatiliaji sana wa mieleka maarufu kama WWE (World Wrestling Entertainment) atakua anamfahamu Super Star John Cena. Kwa taarifa yako tu John Cena ni kati...
View ArticleMalmo vs Real Madrid: Cristiano Ronaldo vs Golikipa Aliyempa Historia ya...
Usiku wa leo Cristiano Ronaldo atakutana na wapinzani ambao wamempa kumbukumbu nzuri sana katika maisha yake ya soka kama mchezaji wa Real Madrid. . Katika mechi ya kwanza dhidi ya Malmo, mreno huyo...
View ArticleNeymar Aitoa Barca Kifua Mbele kwa Kushinda Tuzo Hii Ambayo Ilimshinda Messi
Historia imeandikwa leo ndani ya Jiji la Barcelona. Na Si Messi kama ilivyozoeleka bali ni mbrazil Neymar Dos Santos. Kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo, wameshuhudia mmoja wa wanasoka...
View Article