HII NDIO NDONDO CUP NA MZUKA WA MASHABIKI HUU HAPA
Ubungo Terminal walimenyana na Kigoma United toka Manzese na matokeo yakiwa sare ya goli 1-1,lakini mashabiki wake walileta uhai wa pambano hilo kwa jinsi ya ushangiliaji wao pamoja na mizuka...
View ArticleAZAM YATANGULIA FAINALI FA CUP
Azam imekuwa timu ya kwanza kutinga fainali ya kombe la Azam Sports Federation Cup kufuatia ushindi wa penati 5-3 dhidi ya Mwadui FC baada ya timu hizo kutoka sare ya kufungana magoli 2-2. mechi hiyo...
View ArticleKAMA HUKUBAHATIKA KUONA MECHI YA COASTAL UNION DHIDI YA YANGA SC ULIOVUNJIKA...
Mchezo wa nusu fainali ya FA Cup kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga haukumalizika baada ya kutokea vurugu za mashabiki waliokuwa wakipinga maamuzi ya mwamuzi wa mchezo huo Abdallah Kamuzi. Pambano...
View ArticleFAINALI YA FA CUP INAZIKUTANISHA MAN UNITED VS CRYSTAL PALACE BAADA YA MIAKA 26
Crystal Palace itakutana na Manchester United kwenye mchezo wa fainali ya kombe la FA May 21 mwaka huu baada ya kupambana kupata ushindi dhidi ya Watford kwenye mchezo wa nusu fainali. Yannick Bolasie...
View ArticleSAMATTA AISHUHUDIA GENK IKICHAPWA NYUMBANI
Nyota wa Tanzania Mwana Samatta usiku ya Jumapili April 24 alikuwa sehemu ya kikosi cha kwanza cha Genk kilichocheza shuks uwanjani kuikabili klabu ya Gent mchezo uliomalizika kwa Genk kunyukwa bao...
View ArticleBAD NEWS: SAMATTA ANASUBIRI VIPIMO KUJUA KAMA PUA IMEVUNJIKA
Ilibidi Samatta apumzike baada ya kipindi cha kwanza kutokana na maumivu aliyoyapata kipindi cha kwanza kwa kugongwa puani Jumapili April 24 usiku timu ya Genk ilishuka dimbani kuchuana na Gent lakini...
View ArticleMechi ya Inter vs Udinese yavunja mwiko wa Serie A kwa kutohusisha mchezaji...
Inter Milan wamefufua matumaini ya kupata nafasi ya kwenda kucheza soka la ulaya msimu ujao baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Udinese juzi jumamosi. Katika mchezo huo Inter walifunga magoli yao...
View ArticleTOO MUCH! NDOA YA OKWI NA SIMBA MPAKA LINI?
Na David Wambura Sasa too much ndiyo unachoweza kusema baada ya duru za kimichezo pamoja na kauli mbalimbali za baadhi ya viongozi wa timu ya Simba SC kuanza kuonesha wako tayari kumrudisha klabuni...
View ArticleJEAN-MARC BOSMAN, SHUJAA WA KWELI ALIYEJITWISHA MABOMU ILI WENZAKE WALE BATA
Na David Wambura Ma-football legends wengi wamewahi kupita kwenye mchezo huu pendwa na kuacha alama zao, Pele na tik-taka, Diego Maradona na goli la ‘mkono wa Mungu’, Zidane na ‘zizou’, Johan Cruyff...
View ArticleIJUE SAGRADA ESPERANCA ‘MWADUI YA ANGOLA’ AMBAYO ITECHEZA NA YANGA KOMBE LA...
Na Athumani Adam Esperanca kwa sasa wanafundishwa na kocha kutoka Serbia, Zoran Mackic. Wana wachezaji watano raia wa kigeni, wareno wawili, wakongo wawili na mghana mmoja. Timu hii inatoka mji wa...
View ArticleSuarez kuumaliza utawala wa CR7 kwenye PICHICHI? Hizi hapa rekodi alizoweka...
Luis Suarez yupo njiani kutengeneza historia katika klabu ya FC Barcelona. Mpaka sasa tayari ametengeneza rekodi ya kuwa mchezaji katika La Liga kufunga magoli manne katika mbili mfululizo. Magoli...
View ArticleMAHREZ AMEUPANDA MLIMA KITONGA KWA MATUMAINI SASA NI WAKATI WAKE KUTULIA...
Rirad Mahrez amezaliwa February 21, 1991 ni mchezaji wa soka la kulipwa anayekipiga kwenye klabu ya Leicester City ya England na timu ya taifa ya Algeria kama winger. Mahrez alianza soka lake kama...
View ArticleJANGWANI KITAELEWEKA TAREHE 05 MWEZI WA SITA
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo imetangaza Juni 05, 2016 kuwa siku ya Uchaguzi Mkuu wa viongozi ndani ya klabu ya Young Africans SC ya jijini Dar es salaam....
View ArticleJUVENTUS BINGWA SERIA A
Juventus imeshinda taji la Serie A kwa mara ya tano mfululizo! Ushindi wa bao 1-0 ilioupata Roma dhidi ya Napoli leo umeipa ubingwa wa Scudetto timu ya Juventus. Juventus ilanza vibaya msimu wa...
View ArticlePICHA 13: BONANZA LA NSSF LILIVYOBAMBA DAR
Wachezaji wa timu ya Netiboli ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakishangilia baada ya kutwaa kombe wakati wa bonanza la Usalama na Afya mahali pa kazi, lililofanyika Dar es Salaam juzi...
View ArticleMWAMUZI NDIYO ALIANZISHA VURUGU COASTAL UNION VS YANGA NUSU FAINALI FA CUP
Daktari wa Yanga akimpa huduma ya kwanza mshika kibendera Charles Simon baada ya kuzimia kufuatia kupigwa na jiwe kichwani (Picha kwa hisani ya boiplus.blogspot.com) Mchezo wa nusu fainali ya Azam...
View ArticleSPURS YAIWASHIA LEICESTER TAA YA KIJANI UBINGWA WA EPL
Mashabiki wa Leicester City watakuwa wakiimba na kulishangilia jina la Tony Pulis kwa muda wote baada ya kukiongoza kikosi chake cha West Brom kuwang’ang’ania Spurs na kuwalazimisha sare ya kufungana...
View ArticleNAONA AIBU KUKUMBUKA, NAOGOPA HATA KUOTA MAMBO YA TANGA-COASTAL VS YANGA
Na Saleh Ally HAKUNA kitu Watanzania wengi hawakipendi kama ukweli. Ukikisimamia, basi wewe ndiye adui namna moja wa wengi, lakini mimi naendelea tu na leo nipo Tanga. Kwanza nianze kulaani kitendo...
View Article