KUTOKA MILAN: DIEGO SIMEONE NA TORRES, WAMEYASEMA HAYA MBELE YA WAANDISHI WA...
Leo nimepata fursa ya kuhudhuria mkutano wa waandishi wa habari na kocha wa Atletico ambaye aliongozana na wachezaji wake Gabi pamoja na Fernando Torres kwaajili ya kuzungumzia mchezo wa fainali ya...
View ArticleVideo: INTERVIEW YA KWANZA YA MOURINHO AKIWA KOCHA WA MANCHESTER UNITED
Jose Mourinho amewaasa mashabiki wa Manchester United kusahau yote yaliyotokea miaka mitatu iliyopita wakati timu hiyo ilipokuwa chini ya David Moyes na Louis van Gaal na kuangalia namna ya kuirudisha...
View ArticleVideo: SHAFFIH DAUDA AKIRIPOTI MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA KOCHA WA...
Nipo hapa mjini Milan kuhakikisha mdau na msomaji wangu wa shaffihdauda.co.tz haupitwi na tukio hata moja la kimichezo ambalo litajiri hapa kuelekea mchezo wa fainali ya Champions League itakayopigwa...
View ArticleAZAM YAMWAGA MABILIONI TFF
Rais wa TFF Jamal Malinzi (kushoto) na Ofisa mtendaji Mkuu wa Azam Media Rhyth Torrington (kulia) wakisaini mkataba Azam Media LTD na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF wamesaini mkataba wenye...
View ArticleVideo: SHAFFIH DAUDA USO KWA USO NA FERNANDO TORRES MAZOEZINI MILAN, ITALY
Nipo hapa mjini Milan kuhakikisha mdau na msomaji wangu wa shaffihdauda.co.tz haupitwi na tukio hata moja la kimichezo ambalo litajiri hapa kuelekea mchezo wa fainali ya Champions League itakayopigwa...
View ArticleATLETICO WALIVYOKAMILIASHA MAZOEZI YA MWISHO KUIKABILI MADRID
Atletico Madrid ndiyo walikuwa wakwanza kufanya mazoezi yao ya mwisho kwenye uwanja wa San Siro kuelekea mchezo wa fainali yao ya klabu bingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid. Namna ambavyo wamefanya...
View ArticleRAUL GONZALEZ AIBUKA SAN SIRO KUIPA NGUVU MADRID KWENYE MAZOEZI YA MWISHO
Hivi ndivyo Madrid walivyougawa uwanja katika sehemu ndogo ya nusu uwanja Baada ya Atletico Madrid kumaliza mazoezi yao, hatimaye Real waliingia uwanjani nao kukamilisha mazoezi yao ya mwisho kabla ya...
View ArticleZIZOU AMEYASEMA HAYA KABLA YA KUIKABILI ATLETICO KWENYE FAINALI YA UCL
Boss wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema kupoteza mchezo wa fainali ya klabu bingwa Ulaya dhidi ya Atletico Madrid haimaanishi kwamba amefeli. Real Madrid maarufu kama Los Blancos wataingia kwenye...
View ArticleMAMBO MUHIMU UNAYOTAKIWA KUFAHAMU KUELEKEA FAINALI YA UCL
Jumla ya vilabu 22 vimefanikiwa kutwaa taji la Ulaya tangu kuanzishwa kwake mwaka 1955, huku Real Madrid ikiwa klabu pekee kutwaa taji hilo mara 10 pamoja na kutwaa mara tano mfululizo katika miaka...
View ArticleLEBRON AWEKA REKODI, CAVALIERS WATINGA FAINALI YA NBA.
Cleveland Cavaliers wamefanikiwa kutwaa ubingwa wao wa pili mfululizo kwa kanda ya Mashariki na sasa wanasubiri mshindi kati ya Golden State Warriors dhidi ya Oklahoma City Thunder ambao hata hivyo...
View ArticleMBONDE: NAENDA NJE SI SIMBA, YANGA WALA AZAM….MWAMUZI ALINIAMBIA ‘TUWAACHIE...
Salim Mbonde-Beki Mtibwa Sugar Na Baraka Mbolembole MLINZI wa kati na nahodha msaidizi wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde amemaliza mkataba wake, na baada ya misimu mitatu akiwa na timu hiyo ya Turiani,...
View ArticleReal vs Atletico: Fainali nyingine ya ulaya bila namba 10
Wachezaji wakubwa hucheza mechu kubwa, na kawaida baadhi ya wachezaji wakubwa duniani huvalia jezi namba 10 katika timu zao, namba ambayo ina ukubwa wake katika historia ya soka hasa zaidi katika...
View ArticlePICHA 14: HALI ILIVYO NJE YA UWANJA WA SAN SIRO SAA CHACHE KABLA YA FAINALI
Zimebaki saa chache kabla ya kushuhudia fainali ya vilabu bingwa Ulaya ikipigwa kwenye uwanja wa San Siro, Milan Italy kati ya miamba miwili ya soka la Hispania Real Madrid vs Atletico Madrid ambayo...
View ArticleSTARS IKIJIFUA NAIROBI KUIKABALI HARAMBEE STARS
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kikifanya mazoezi jijini Nairobi kuelekea mchezo wake wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars kwa ajili ya kujipima nguvu kabla ya...
View ArticleWAZEE WA YANGA WAMEKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KUZUNGUMZIA UCHAGUZI
Mzee Ibrahim Akilimali-Katibu Baraza la Wazee wa Yanga Baraza la wazee wa Yanga limetoa tamko lao kwa TFF pamoja na Baraza la Michezo Tanzania (BMT) kutaka ufafanuzi kuhusu kadi za wanachama...
View ArticleMADRID BINGWA MARA 11 CHAMPIONS LEAGUE
Real Madrid wametwaa taji la ubingwa wa vilabu bingwa Ulaya kwa mara ya 11 baada ya kuichapa Atletico Madrid kwa mikwaju ya penati kwenye uwanja wa San Siro mjini Milan. Bao la Sergio Ramos liliwaweka...
View ArticleBAADA YA ZIZOU KUCHUKUA UEFA, INSTAGRAM YA BECKHAM ILISOMEKA HIVI…
Zinedine Zidane imemchukua takriban miezi mitano kushinda taji la vilabu bingwa Ulaya akiwa kama kocha wa Real Madrid. Ushindi huo umekuja baada ya kushuhudia mchuano mkali wa matuta kwenye usiku wa...
View ArticleSIMEONE, KOCHA MWANAHARAKATI NA SHUJAA WA ATLETICO MWENYE NDOTO KALI ZA UEFA
Na Mahmoud Rajab Diego Simeone ni mpambanaji. Kamwe hilo huwezi kupinga na mara zote yeye kama kocha na wachezaji wake hufanya hivyo kwa maslahi ya timu kutokana na timu kutokuwa na bajeti ya kununua...
View ArticleZIZOU AMETAJA SIRI YA MAFANIKIO, SIMEONE NA HATMA YAKE ATLETICO
Shamrashamra zimemalizika katika mji wa Milan na badala yake sherehe hizo za kushangilia ubingwa zimehamia kwenye jiji la Madrid ambako Real wanasubiriwa kupokelewa na mashabiki wao baada ya...
View Article