KOBE AREJEA NYUMBANI KULIKOMLEA KUAGA LAKINI ACHAPWA, AHUENI YA KWANZA KWA...
Wakati Warriors wakishikilia rekodi ya kutokufungwa mpaka sasa, wenzao Philadelphia 76ers walikuwa wakishikilia rekodi ya kutokushinda mpaka walipokutana na ndugu zao L.A Lakers ambao nao walikuwa...
View ArticlePICHA: HIVI NDIVYO KILI STARS ILIVYOWASILI TOKA ETHIOPIA
Washambuliaji wa Kili Stars Malimi Busungu (kushoto) na Elius Maguli Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro Stars’ kimerejea nchini leo kikitokea nchini Ethiopia ambako kilikuwa...
View ArticleRAPPER YOUNG KILLER AMTAJA MSHINDI WAKE WA BALLON D’OR…AKILI KUWA SHABIKI WA...
Hivi sasa moja ya topic kubwa ni kuhusu tuzo ya Ballon D’or na kila mtu anajaribu kutoa sababu zake kuhusu nani atakua mshindi wa tuzo hii. Kama ulikua hujui ni kwamba rapper Young Killer aliwai...
View ArticleBAADA YA KUTUA BONGO AKITOKEA ETHIOPIA, JOHN BOCCO AMENITUMA NIKWAMBIE MANENO...
Nahodha wa Kilimanjaro Stars na Azam FC John Bocco ‘Adebayor’ baada ya kuwasili nchini na timu nzima ya Kilimanjaro Stars wakitokea Ethiopia kwenye michuano ya Challenge Cup 2015 Nahodha wa kikosi cha...
View ArticleManchester United ‘Inayoboa’ Itaweza Kutwaa Ubingwa wa EPL? – Majibu yangu...
Manchester United waliikosa nafasi ya kupanda juu ya kilele cha Premier League baada ya mechi nyingine ya sare waliyocheza katika kiwango cha chini vs Leceister City jumamosi iliyopita. United...
View ArticleMNYAMA SIMBA KESHO MAWINDONI ZANZIBAR
Wachezaji wa Simba SC wakiwa mazoezi kwenye uwanja wa Amaan, Zanzibar Na Abubakar Kisandu, Zanzibar Wekundu wa Msimbazi Simba kesho wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Kimbunga ambayo...
View ArticleDAUDA TV: NI NANI WA KUIZUIA BARCA? YAFANYA BALAA JINGINE COPA DEL REY
Ni nani wa kuzuia gharika hii? Miamba ya Hispania na Ulaya timu ya Barcelona usiku wa December 2 iliendeleza wimbi la vipigo kwa kila anayekatiza mbele yao, jana usiku ilikuwa ni zamu ya Villanovense...
View ArticleCURRY YULEE, WARRIORS WALEE… HAKUNA WA KUWASHIKA. WAIUA CHARLOTTE HORNETS
Unaweza kuliita tatizo sasa ndani ya NBA, ingawa kila mmoja anatamani na anavutika kuona nani atahusika kkuifunga Warriors kwa mara ya kwanza. Dell Curry alimwambia mwanawe kabla ya mchezo Jumatano...
View ArticleDAUDA TV: MADRID BADO INAKIMBIZA MWIZI KIMYAKIMYA
Baada ya wapinzani wao wakubwa kuibuka na ushindi wa goli 6-1 wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani, Real Madrid nao wakang’arisha nyota yao wakiwa ugenini kwenye mchezo wa kombe la Cpa del Rey kwa...
View ArticleUKITAKA KUMTIBUA MAGULI, MUULIZE MASWALI HAYA UONE MOTO!!
Ni ukweli usiopinginga kwamba kwa sasa mshambuliaji wa timu ya Stand United na timu ya taifa ya Tanzania Elius Maguli anafanya poa kwenye soka la Bongo. Mshambuliaji huyo aliyetemwa na ‘wekundu wa...
View ArticleSHAFFIH DAUDA ANASEMAJE KUHUSU MESSI KUTWAA TUZO YA MSHAMBULIAJI BORA WA LA...
Baada ya mjadala mkali kuzuka kwenye social media na hata kwenye baadhi ya broadcasting media za hapa bongo kuhusiana na tuzo ya mshambuliaji bora aliyopewa mchezaji wa Barcelona Lionel Messi ilhali...
View ArticleKOBE BRYAAANT…. MBABE HAANGUKI DAIMA. KOBE AREJEA KATIKA KIWANGO AIUA...
Ni ngumu sana kumkumbatia nungunungu kwa muda wote, maana ipo siku au muda ambao atatoa miiba yake na ikakuchoma. Ndicho kitu unachoweza kusema juu ya mchezaji aliyetoka kutangaza kuwa atastaafu...
View ArticleUNAJUA NI KWANINI MAN U HAIFUNGI MAGOLI MENGI? SHAFFIH DAUDA KAFANYA...
Klabu ya Manchester United imekuwa ikishindwa kufunga magoli ya kutosha kwenye michezo yke mbalimbali hali iyozua taharuki kwa mashabiki, wachezaji wa zamani na hata wachambuzi mbalimbali wa masuala...
View ArticleLEO NI BIRTHDAY YA SIMON MSUVA, KUNA KITU KIZURI AMEKIANDAA KWA AJILI YA...
Ikiwa leo ni December 3, 2015 star wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Simon Msuva anaadhimisha siku yake ya kuzaziwa (birthday), hii ni siku muhimu sana kwake kama ambavyo imekuwa muhimu...
View ArticleDAUDA TV: USIKUBALI KUPITWA NA HII EXCLUSIVE INTERVIEW YA GAUDANCE MWAIKIMBA
Gaudence Mwaikimba ni mwanasoka wa Tanzania kwasasa anacheza kwenye timu ya JKT Ruvu inayoshiriki ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, Mwaikimba ni miongoni mwa wachezaji wachache walioweza kudumu...
View ArticleKIBIBI KIZEE ANARUDI INGAWA KWA KUJIKONGOJA
Ni wazi kuwa kuwa Serie A inaendelea kuimarika kila kukicha kutokana na ushindani unaooneshwa na timu kubwa pamoja na timu nyingine zinazoshiriki Ligi hiyo. Timu kubwa hapa nazungumzia...
View ArticleMASTAA WAPAMBA BIRTHDAY PARTY YA SIMON MSUVA
Msuva akiwa na washkaji zake wa karibu kutoka kundi la Makomando, Muki (katikati) pamoja na Fred Siku ya December 3 kila mwaka ni siku muhimu sana kwa star wa soka la Bongo anayecheza kwenye klabu ya...
View ArticlePICHA: ULIPITWA NA BIRTHDAY PARTY YA MSUVA?, ANGALIA PICHA UONE ILIVYOBAMBA…
Ulipitwa na Birthday Party ya Simon Msuva? kama ilikupita basi mtandao huu unakupa fursa ya kushuhudia matukio yote yaliyojiri kwenye party hiyo iliyofanyika usiku wa December 3 wakati mchezaji huyo...
View ArticleUMEIPATA HII YA SERIKALI YA MAGUFULI KUFANANISHWA NA SAFU YA USHAMBULIAJI YA...
Kuna msanii mmoja wa muziki wa kizazi kipya anafahamika kwa jina la Afande Sele kutoka kundi la Watupori kutoka mkoani Morogoro alishawahi kutamba na wimbo mmoja unaoitwa ‘Dunia inamambo’, sasa kweli...
View ArticleMAN UNITED, BAYERN MUNICH, VITANI KUINASA SAINI YA STAR ANAYEWANYIMA USINGIZI...
Klabu za Bayern Munich na Manchester United sasa zinapigana vikumbo kutaka kupata saini ya mchezaji raia wa Senegal na klabu ya soka ya Southampton, winga Saidio Mane mwenye miaka 23 katika kuongezea...
View Article