Arsenal itachukua ubingwa EPL na Leicester itacheza UEFA msimu ujao
Leicester ni club ambayo inafanya vizuri hivi sasa kwenye EPL ambapo imekua tishio kwa club kubwa kwenye mechi zao mbalimbali. Kama sio kutoka suluhu basi lazima washinde mechi dhidi yao. Arsenal...
View ArticleKAMUSOKO AIPANDISHA YANGA KILELENI VPL
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Thabani Kamusoko Kiungo mshambuliaji wa Yanga Thabani Kamusoko ndiye aliyeibuka shujaa mkoani Tanga baada ya kuisadia timu yake kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya...
View ArticleGuardiola Akiondoka Bayern: Je atakwenda Etihad, Old Trafford au Darajani?
PEP GUARDIOLA anataka kufundisha timu katika Premier League: sasa mbio za kutaka kumsaini kocha anayetakiwa zaidi imeanza rasmi. Kocha huyo mwenye sifa kubwa miongoni mwa makocha bora duniani...
View ArticleBAADA YA DIRISHA DOGO LA USAJILI KUFUNGWA, HII NDIYO ORODHA YA WACHEZAJI WOTE...
Paul Nonga akiwa kwenye ofisi za Yanga kukamilisha uhamisho wake wa kuijunga na klabu hiyo kutoka Mwadui FC Usajili wa dirisha dogo umefunga usiku wa December 15 baada ya kufunguliwa November 15 mwaka...
View ArticleJUMA PONDAMALI ‘MENSA’ ALMANUSURA WAZICHAPE ‘KAVUKAVU’ NA KOCHA WA AFRICAN...
Kocha wa makipa wa Yanga Juma Pondamali ‘Mensa’ Badaa ya mchezo wa African Sports dhidi ya Yanga kumalizika jana kwenye uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, kocha wa magolikipa wa Yanga Juma Pondamali...
View ArticleISHU YA MAJABVI WA SIMBA SASA IMEFIKA PABAYA…UONGOZI UMESEMA LITAKALOKUA NA LIWE
Kiungo wa Simba SC Justice Majabvi Uongozi wa klabu ya Simba umesema kiungo wao wa kimataifa wa Zimbabwe Justice Majabvi kama anataka kuondoka kwenye klabu hiyo ni ruksa kufanya hivyo kutokana na...
View ArticleTOP 5 YA STORY ZINAZOHUSU USAJILI ULAYA
Dirisha dogo la usajili kwa vilabu vya Ulaya litafunguliwa mwezi January, 2016 kwa ajili ya vilabu kufanya maboresho ya vikosi vyao ili kuendelea na mikikimikiki ya ligi pamoja na michuano mingine....
View ArticleDE GEA NAE KAIBUKA NA STORY KUHUSU VAN GAAL
Golikipa wa Manchester United David De Gea amezitupilia mbali tuhuma za kwamba wachezaji wa kikosi cha ‘mashetani wekundu’ hawana furaha chini ya kocha Lois van Gaal kutokana na style yake ya soka....
View Article‘Real Madrid Ina Kikosi Chenye Mkusanyiko wa Mastaa, Sio Timu’
Hali ya klabu ya Real Madrid katika msimu mpya wa ligi kuu ya Uhispania sio nzuri na inazidisha presha kwa kocha Rafa Benitez kila kukicha huku baadhi ya wadau wakianza kushinikiza atimuliwe kazi....
View ArticleOFFICIAL: CHELSEA YAMTIMUA MOURINHO
Club ya Chelea imemtimua kocha wake Jose Mourinho ikiwa ni mezi saba tu tangu kocha huyo akiongoze kikosi cha The Blues kutwaa ubingwa wa ligi ya England maarufu kama EPL Mourinho, 52, anakuwa...
View ArticleBAO LA KAMUSOKO LILIUMALIZA ‘UCHAWI’ WA SPORTS? USHIRIKINA NI IMANI MBAYA TU…..
Kiungo wa Yanga Thabani Kamusoko akishangilia bao alilofunga dhidi ya African Sports Na Baraka Mbolembole Yanga SC walicheza kwa kiwango cha juu kwa dakika 3 au 4 tu za mwisho katika pambano...
View ArticleUNAJUA NIYONZIMA KASEMAJE BAADA YA CHELSEA KUMTIMUA MOURINHO? HII NDIYO TWEET...
Haruna Niyonzima, Kiungo wa Yanga na nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda Kiungo wa Yanga mwenye asili ya Kinyarwanda Haruna Niyonzima ametoa maoni yake muda mfupi baada ya kocha wa Chelsea Jose Mourinho...
View ArticleKuna Maisha Baada Ya Soka: Ronaldo Azindua Mpango Kujenga ‘CR7 Hotels’ Miji...
Cristiano Ronaldo tayari ameanza kujipanga na maisha baada ya soka baada ya kukiri kwamba siku zake za kuendelea kuwa mmoja wa wacheza soka zipo mbioni kumalizika miaka kadhaa ijayo. Mshambuliaji...
View ArticleKUMBE GERALD HANDO WA CLOUDS FM NI SHABIKI WA CHELSEA!!…AMESEMA HAYA BAADA YA...
Mtangazaji maarufu nchini wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM na shabiki wa kutupwa wa Chelsea Bw. Gerald Hando ametoa ya moyoni baada ya kocha wa Chelsea Jose Miurinho kutimuliwa kwenye...
View ArticleYANGA YAMKABIDHI JEZI GARBA TAYARI KUANZA KAZI
Klabu ya Yanga leo imemtambulisha rasmi mchezaji wao wa kimataifa kutoka Niger Issoufou Boubacar Garba baada ya kukamilisha usajili wa mchezaji huyo ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia...
View ArticleVIONGOZI SIMBA/YANGA MSIWAFANYE WAANDISHI KAMA KUKU WAPARUA CHINI
Na Hemed Kivuyo, Dar es Salaam Waandishi wenzangu wa habari za Michezo nawapa Kongole popote mlipo kutokana na kazi zenu zakuwahabarisha wananchi hasa wapenda michezo. Ingawa ni kweli kuwa wapo baadhi...
View Article“WACHEZAJI WASILAUMIWE KUFUKUZWA KWA MOURINHO”…
Mara baada ya kutimuliwa kazi kuwa meneja wa Chelsea Jose Mourinho, mkurugenzi wa soka wa Chelsea, Michael Eminalo amesema wachezaji hawatakiwi kutupiwa lawama kwa yaliyomtokea Jose Mourinho. Ingawa...
View ArticleHII NI STORY MPYA INAYOMUHUSU JUSTICE MAJABVI
Na Hemed Kivuyo, Dar es Salaam Mwenyekiti kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe ameshangazwa na hatua ya mchezaji Justice Majabvi kutakaa atolewe kwa Mkopo na kuhusisha hatua hiyo na...
View ArticleDAUDA TV: ANGALIA SINEMA ZA JERRY MURRO NA HAJI MANARA
Afisa habari wa klabu ya Yanga Jerry Muro Katika soka la Tanzania vilabu vya Simba na Yanga ndiyo vilabu vikongwe hapa nchini vikiwa na mashabiki lukuki kila kona ya nchi. Vilabu hivyo vimekuwa na...
View ArticleDAUDA TV: MANARA ASHINDWA KUVUMILIA, HIVI NDIVYO ALIVYOJIBU MAPIGO YA MURO
Haji Manara, Afisa Habari wa Simbs SC Baada ya afisa habari wa Yanga Jerry Muro kumtupia kijembe afisa habari wa Simba Haji Manara akihoji kuhusu elimu yake huku yeye akitamba kuwa anamaisha bora...
View Article